The Caleb's Group
The Caleb’s Group ni idara ya wanaume waliooa. Lengo la idara hii ni kumrejesha baba kama kichwa cha familia, kama nguzo ya familia, katika dhumuni kuu la baba katika kanisa na utumishi.
Kwa shukrani ya matendo makuu ya Bwana katika maisha yako, ukiri wa wema na uaminifu wa Mungu.
Waweza Panda Dhabihu Yako ya Shukrani Kupitia
Lipa Namba:
Voda: 68080668 Jina: ENCC Mji wa Bwana
Mixx by Yas: 15274182 Jina: ENCC Mji wa Bwana