mahala mabaya yasiporuhusiwa kuharibu

utabarikiwa, utainuliwa, utafunguliwa, utaponywa, utapata mpenyo na kutofautishwa milele

Karibu Tuabudu Pamoja

Tupo: Mbezi kwa Msuguri, Dar-es-Salaam

Sunday Live Services
Sunday

3 Asubuhi

Ibada za Ukombozi na Uponyaji
Wednesday

10 Jioni

@encc_mjiwabwana

Shuhuda

Ni Madhabahu yenye kumdhihirisha Mungu wa kweli kwa ibada zenye mdhihirisho wa matendo makuu ya ishara na ajabu kwa kumwabudu katika roho na kweli kwa kusifu, kuabudu Neno lililo hai, maombi, kuomba na maombezi.

MJ… Nilimuuliza Askofu Dr. Manasse DM swali kama angeweza kutukusanya kwa siku moja wanawake wote tuliopata watoto wa muujiza katika madhabahu hii. Bwana Amenifuta machozi na kuniondolea fedheha katika MJI WA BWANA, wala si mimi peke yangu. Tupo wengi hatukuwa na watoto na sasa tunayo furaha ya kuwa na watoto.  UTUKUFU KWA MUNGU.

Ni Madhabahu ya ukombozi, kufungua vifungo, kuponya na kila shauri la shetani na waovu hawatakushinda “Hakika hautalia tena”, utabarikiwa, utainuliwa, utaponywa, na kutofautishwa milele.