Utainuliwa

ukuaji wako wa kiroho

Tumia yaliyo kwenye ukurasa huu kwa ajili ya ukuaji wako wa kiroho. Pata habari toka kwa wachungaji wetu, matamko ya kinabii, miaka ya kinabii, sauti za madhabahu na mengine mengi...

Sala ya Toba

(kwako wewe unayetaka kumpokea Yesu Kristo kuwa Bwana na Mwokozi wa maisha yako)

“Ee Bwana Yesu, nafungua moyo wangu sasa, nakukaribisha wewe. Tawala roho, nafsi na mwili wangu. Unifanye kuwa wako milele kwa kuandika jina langu katika kitabu cha uzima cha Mwanakondoo. Nachagua wokovu leo, katika jina la Yesu Kristo. Amen!”

Warumi 10:9-10,13