Dirisha la Pumzi ya Mungu Download the English Version: The Window of the Breath of God – 2025 Prophetic Utterances.pdf “Huu ni ufunuo wa...
LANGO la Malango Kufunguliwa “Lango ndiye Yesu Bwana, wote waingie kwake. Lango! Lango la Mbinguni li wazi.” Ufunuo 22:14-15; 3:7-8; Isaya 22:22; Zaburi 82 Matamshi...
Upanga wa Bwana Yeremiah 47:6; 1 Wafalme 3:24; 1Nyakati 21:12; Isaya 34:6; Ufunuo 19:15 Matamshi ya Kiunabii na Bishop Dr. Manasse DM Haya ndiyo yale...
Mdhihirisho wa Mawimbi ya Utukufu wa Mungu Habakuki 2:14 Afrika: kwa nini? Afrika hauna adui mwingine, kwa nini wewe ni adui yako mwenyewe? Afrika kwa miaka mingi na kwa karne...
Funguo za kubarikiwa kwa Obedi-Edom: 2 Samweli 6 Alijua itifaki ya kuingia katika uwepo wa Mungu Alijua namna ya kumheshimu na kumuabudu Mungu Alijua jinsi ya kumbariki Mungu Alijua jinsi...
Bwana Mungu wa Utukufu Amekaa Kitini pa Enzi – Zaburi 47:2 “Maana kwa mara nyingine, vilio na maombi ya watu waombao usiku na mchana kutokea mahali hapa vimenijilia, vimenifikia, nami nimeshuka,...