Funguo za kubarikiwa kwa Obedi-Edom: 2 Samweli 6
Encctanzania

Alijua itifaki ya kuingia katika uwepo wa Mungu

Alijua namna ya kumheshimu na kumuabudu Mungu

Alijua jinsi ya kumbariki Mungu

Alijua jinsi ya kumtumikia Mungu: 1 Nyakati 15:13, unaweza kuwa na nia nzuri

Alijua jinsi ya kuiruhusu rehema ya Mungu kutenda kazi maishani mwake. Alijua jinsi ya kuvitia rehema za Mungu, overcoming the previous fears for hosting or touching the Ark of the Covenant of God. It is wise to know when to call on the mercies of God. This was the secret to Obed-Edom’s success when the Ark was brought to his house. Hebrews 4:16.

  • Anarehemiwa na Mungu, mahala angepata hukumu panageuzwa na kuwa baraka. 2 Samweli 6:8 vs 2 Samweli 6:11
  • Anahurumiwa na Mungu
  • Mtu anayekosa rehema za mwanadamu anarehemiwa na Mungu.