Uongozi wa ENCC Tanzania
Askofu Mkuu
Dk. Manasse Daniel Martin na Mama Ididi Manasse
(Dk. Manasse ni mchungaji mkuu wa ENCC–Mji wa Bwana, Mbezi kwa Msuguri)
Makamu Askofu
Rev. Tito Thomas Tunda na Mama Rose Tunda
(Rev. Tito ni mchungaji ENCC–Hema ya Washindi, Chalinze Mjini)
Katibu Mkuu
Rev. Jerome Andrew Yohana na Mama Josephine Jerome
(Rev. Jerome ni mchungaji ENCC–Rehobothi Centre, Mlandizi Kibaha)
Mtunza Fedha
Pastor Adamu Furaha Athumani na Mama Oliva Adamu
(mchungaji ENCC–Mlima wa Bwana, Ndwati Kibaha)