Karibu Mji wa Bwana: Mahala Mabaya Yasiporuhusiwa kuharibu.
Watenda Kazi na Huduma
Huduma ya Hema ya Daudi
Idara inayohusika na kuhudumu katika ibada kwa sifa na kuabudu.
Hebron Media
Idara inayohusika na kurekodi vipindi vya video na sauti.
Kikosi cha Tai
Kikosi maalumu kwa ajili ya maombi na maombezi.
Nyota ya Daudi
Idara inayoshughulikia na kusimamia utaratibu wa ibada na kufikia jamii kihuduma.
Kikosi cha Sayuni
Kikosi kinachohusika na kuweka mazingira ya Mji wa Bwana katika hali nzuri na kupendeza (kuyapenda mavumbi ya Sayuni).